Reader Settings

Licha ya Roma kuchekeshwa na matendo ya Edna , lakini moyo wake ulimhurumia hakuamini kama kuondoka kwake jana ndio kumemfanya Edna kuwa hivyo , alijihisi huenda jana alimuumiza kihisia nio maana akawa na mabadiliko ya aina hio.

Aliangalia simu kuona nani anapiga na aligundua ni Adeline wa The Eagles ndio aliekuwa akipiga.

“How is progress?”Aliuliza Roma akimaanisha vipi kuhusu maendeleao.

“Mfalme Pluto , jana nilikesha …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next