RWANDA -KIGALI
Ni siku nyingine ndani ya Ikulu, Raisi Jeremy alionekana akiwa ameketi kwenye ofisi yake kama kawaida , lakini leo hii alionekana hakuwa sawa kabisa kimawazo kutokana na mwonekano wake.
Ukweli tokea siku ya jana hakuwa amelala kabisa mara baada ya kupata taarifa kutokuonekana kwa mke wake kutoka kwa walinzi waliokuwa wakimpatia ulinzi nchini Tanzania , alijaribu kuwasiliana na Raisi Senga ili kupata msaada …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments