Reader Settings

Licha ya kusikia swali la Kizwe , lakini Lekcha hakujibu na kuendelea na shughuli yake ya kujiandaa kwa ajili kwenda kufanya kazi yake ya kuokota chupa.

“Mbona hunijibu , unanionea huruma?”Aliuliza Kizwe awamu hii akiwa siriasi.

“Nimekusaidia kwasababu nimetaka kufanya hivyo , mimi na wewe nadhani anaetakiwa kumuonea mwenzake huruma , una miguu yote miwili mimi nina mmoja wa kawaida na mmoja wa bandia , …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next