Roma ilivyotimia saa saba kamili alitoka kwenye jengo hilo la kampni yake na moja kwa moja kuanza safari ya kuelekea Posta ilipo kampuni ya Vexto na ndani ya madakika kadhaa tu aliweza kufika na kuegesha gari upande wa chini karibu na la mke wake na akamtumia Edna ujumbe wa maandishi na ndani ya dakika chache tu Edna aliekuwa amevalia suti alitokea , alikuwa na mudi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments