Edna hakuamini kama mama yake kifo chake kilikuwa ni cha kusababishwa na mtu , ijapokuwa alikuwa akipata hisia mbaya kila akikumbuka namna mama yake alivyougua ghafla na kufariki, lakini siku zote alikuwa ni mwenye kuomba jambo ambalo alikuwa akilihisi lisiwe kweli , lakini sasa ndio anapata kuujua ukweli kwamba kile alichokuwa akihisi kilikuwa ni cha kweli, moyo wake uliuma.
Hata Habari ya mama yake kuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments