Roma sasa anajua mpango uliomfanya kuwa tofauti na binadamu wa kawaida ndio huo unajulikana kwa jina la mpango LADO , lakini hata hivyo anashindwa kujua mwanzo wa mpango huo ilikuwaje , kwani kwenyye sauti alioweza kusikia ni jina lake tu pekee likitajwa pamoja la Seventen kufanana na Edna , kwa ufupi Roma hakuwa na uelewa kama mpango LADO ulianzia kwa kupotea kwa ndege ya shirika …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments