Reader Settings

Ni ndani ya dakika kadhaa tu tokea Kizwe kuingia ndani ya eneo hilo la VIP Club B , ziliingia gari tatu nyeusi aina ya Range Rover geti la mbele kiasi kwamba zilimfanya hata Zonga aliekuwa akisimamia wafanyakazi wengine kuwa na wasiwasi ,haikuwa kawaida kuona gari tatu kwa pamoja kuingia pamoja eneo kama hilo la starehe.

Wakati gari hizi zikiingia hapo ndani, muda huo huo Kizwe …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next