SOUTH SEA -CHINA
Ni katikati ya bahari ya kusini ya China, upepo wa mchana ulionekana kuwa mwingi kwa siku hio tofauti kidogo na siku nyingine huku eneo lote likitawaliwa na makelele ya mawimbi ya maji ya wastani , kwa jinsi eneo lote lilivyoweza kuonekana ni kama hakuna ambacho kimetokea dakika kadhaa zilizopita.
Roma alievalia shati la mikono mirefu rangi nyeusi aliweza kutokezea katika eneo hilo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments