Reader Settings

Muda huo huo Poseidon alionekana mbele yao , akiwa amevalia nguo za upishi na hata kile kikofia cha juu alikuwa nacho , ilionekana kabla ya kuanza safari alikuwa bize kukaangiza mahanjumati.

“Neptune there has been misunderstanding . Hades was not the one who broke the treat of gods”

“Neptune kuna makosa , Hades hajahusika na kuvunja mkataba wa kiuungu”Aliongea Christen lakini Poseidon aliyadharau maeneo yake …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next