Alice na Stern walijikuta wakishangazwa na kile kilichokuwa kikiendelea ndani ya hilo eneo , walionekana kama watu ambao hawajategemea Roma na Poseidon kupigana.
“Aphrodite what is going on, why is Poseidon attacking him?”
“Aphrodite nini kinaendelea , kwanini Poseidon anamshambulia?”Aliuliza Alice na kumfanya Christen angalau kupata ahueni mara baada ya kuwaona Apollo na Artemis.
“Apollo imekuwa vyema mmefika , fanyeni haraka kumzuia Poseidon asiendelee kumshambulia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments