Kupoteakwaghafla kwa Roma kulimtesa sana mrembo Nasra , kwani alikuwa akijairbbu kupiga simu kwa mara hazikuwa zikipolewa , mrembo huyu kutokana na kwamba swala la mama yake kutokubali kuendelea na Roma halikuwa limeisha alikuwa na wasiwasi mkubwa , hakuwatayari kumuacha Roma licha ya mama yake kutokumkubali.
Sasa siku ya jana yake kabla ya Roma kuondoka Tanzania , mrembo Nasra alikuwa amekaa chini na mama yake …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments