Reader Settings

Roma mara baada ya kukamilisha taratibu zote za kuonana na CEO wa benki ya UBS aliweza kutengenezewa kadi ya haraka sana ya Platinum iliokuwa na kiasi cha pesa Dollar za kimaekani milioni hamsini.

CEO mwenyewe alikuwa ni mwenye kuchanganyikiwa mara baada ya kupokea ujio wa Roma na pete yake kwani hakutegemea kabisa ,Upande wa Roma hakutaka sana maongezi , alichokuwa akihitaji ni pesa na kisha …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next