Mnada uliendelea kwa haraka huku watu mbalimbali wakijaribu bahati zao za kupata vile vitu ambavyo walikuwa wakitumainia kuvipata ambavyo vimewaleta.
Upande wa Roma na mrembo Rufi waliendelea kuangalia vitu vikiendelea kutolewa na kupigwa mnada , Rufi hakuwa amefikia kwenye kitu ambacho alikuwa akikitaka kama alivyoweza kumwambia Roma , hivyo walitulia kusubiria huku Roma akiendelea kumtania , lakini upande waRufi alijitahidi kuigiza kama alikuwa akifurahia utani …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments