Reader Settings

Robert alijikuta akiwa kwenye mshangao na sio kwake tu na wafanyakazi aliokuwa akiwafokea pia walijikuta kuchanganyikiwa.

“Pumbavu kabisa , inaonekana tumapata tatizo lingine la kushughurikia kwanza, tunapaswa kuondoka”Aliongea akiwapa ishara wamfuate.

Walitoka na moja kwa moja walienda mpaka floor ya chini Zaidi , sehemu ambayo ndio kuna udhibiti wa mitambo yote ya idara hio.

Eneo hilo na la juu lilikuwa na utofauti mkubwa sana , …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next