Christen alishangaa ni kitu gani ambacho Roma anataka kujua kutoka kwa Hades kwani mara nyingi Roma hakuuliza Habari zake kabisa kutoka kwake, walienda kukaa ndani kwenye eneo la sebuleni kwenye masofa kwa ajili ya kuendeleza mazungumzo yao.
Roma alimwelezea kwa ufupi kuanzia tafiti juu ya kampuni ya Innova kumhusisha Raheli katika majaribio ya teknolojia ya kikimiminika cha ufufuo na Christen alisikiliza kwa umakini na kuna …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments