MASAA MACHACHE NYUMA.
“Boss Edna!, Sikutegemea kama utafanya safari mwenyewe kuja mpaka huku?”Aliongea mmoja wapo wa wale mabwana wawili mara baada ya Edna na Roma kuingia ndani.
Edna aliwaangalia kwa zamu mabwana hao, lakini sura zao ni kama hakuwahi kuziona hapo kabla , Vexto ilikuwa na wafanyakazi wengi , hivyo ilikuwa ngumu kuwafahamu wote kwa sura kwani baadhi ya kazi nyingine ni Nasra aliekuwa akisimamia …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments