Saa mbili kamili za usiku ndio Roma alirudi kutoka anapishi Nasra mara baada ya kuhakikisha yupo salama kiafya mara baada ya kumfanyia uchawi wake kwani kilichomfanya Nasra kupoteza fahamu ni kukaa muda mrefu nje kwenye mvua pamoja na kutopata usingizi kwa siku chache , Roma njia nzima alikuwa akiwaza namna ya kumaliza hasira za mke wake Edna , lakini kwa muda huo hakuwa na namna …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments