Edna siku hio alivyofika kazini aliweza kuonana na Suzzane , haikueleweka ni kipi alichoongea ila alionyesha mwishoni maagizo Edna anayompatia kuyatoa kwa msisitizo mkubwa na kisha Suzzane akaondoka.
Licha ya yale yaliotokea jana alionekana kutokuwa na aina yoyote ile ya kuonyesha kama alikuwa na mawazo kwasababu alionekana kuwa wakawaida tu , lakini kidogo akiwa siriasis kuliko siku zote.
Baada ya Suzzane kuondoka Edna alichukua rimoti …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments