Stori ya Bi Wema aliyomwambia Roma ni kwamba alishawahi kuwa na mwanaume wake wa kwanza ambaye alitokea kumpenda sana , mwanaume kutoka bara la Asia , yaani China , mwanaume ambaye alikuwa akifanya kazi ya umachinga , mahusiano yake na mwanaume huyo yalikuja kuwa makubwa mpaka kumpelekea Bi Wema kubeba ujauzito.
Kipindi Bi Wema anabeba ujuauzito bado alikuwa anaishi nyumbani kwa Edna na anasema mara …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments