Reader Settings

`

Omari mara baada ya kuingia ndani ya ofisi ya Roma alishangazwa na uwepo wa mwanamke mrembo kama Amina, Omari kutokana na kutofatilia sana mambo mengi hakuwa akimjua Amina, kwa namna mrembo huyo alivyokuwa akimwangalia Roma alijua lazima kungekuwepo na mahusiano , hata hivyo alikuwa akisikia Habari za Roma kuwa na wanawake wengi , jambo ambalo lilimshangaza na kujiuliza yeye kafanikiwa vipi , kwani yeye …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next