Edna mara nyingi hakuzoea sana kulakiwa namnahio , lakini alijitahidi kutoonyesha utofauti .
“Sasha welcome in Tanzania” Aliongea Edna kwa tabasamu huku akikumbatiana na mwanada huyo , alikuwa ndio mke wa Rich.
“Rich alivyoniambia ulimwalika wewe mwenyewe kuja kwenye kampuni yako ya Vexto niliamini ni Idea nzuri sana , alikuwa ni mwenye Maisha mabaya sana nyumbani , hivyo niliamini kuja Tanzania kungemchangamsha”Aliongea na kumfanya Edna …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments