Watu wote walishangaa kutokana na kwamba saa yenyewe licha ya kuwa ‘Pocket Watch’ lakini ilionekana kuwa ya kawaida sana na kutokuwa na kitu cha ziada cha kuvutia.
“Hii saa niliishia kuona tu kwenye baadhi ya vitabu , Henry Graves ni saa ya mfukoni ambayo ilitengenezwa miaka mingi iliopita , ijapokuwa inaonekana kuwa kawaida kutokana na umri wake , lakini ni kweli imetengenezwa kwa karati kumi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments