Reader Settings

Roma ilibidi ampe Edna kwanza maelezo kwa ufupi kuhusu nguvu anazotumia , hakuziita kwa jina la mbinu za kijini bali yeye aliziita mwenyewe mbinu za Heaven and Earth’ , yaani mbinu za kuvuna nishati kati ya mbingu na Ardhi.

Edna hakushangaa sana kwani mwenyewe alikuwa na mengi ambayo hakuwa akiyajua kuhusu Roma , lakini jambo moja ambalo lilimfanya kushangaa ni swala la Roma kusema kwamba …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next