Reader Settings

Roma alishanganzwa kwa kiasi flani na nguvu ya kijini iliotoka kwa mwanamke huyo ambayo ipo kwenye levo ya mzuguko kamili , alijiambia ingekuwa siku kadhaa zilizopita angeogopa lakini kwasasa alikuwa ashapita kabisa kwenye hio levo mpaka kupigwa na radi hakuwa na chakuogopa.

Alichokifanya ni kama kupangusa kwa mkono wake wa kulia kama anafukuza nzi na palepale ile nguvu yote ilipotea kama kibatari kilichopulizwa na upepo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next