Reader Settings

Siku iliofuatia Roma na Magdalena waliweza kuondoka ndani ya Ngome ya Tang kuanza safari ya kurudi nchini Tanzania , Roma alikuwa ashaweza kufanikisha jambo lake na kuna vitu vingi ambavyo alijifunza hivyo kubakia ndani ya taifa hilo kwake aliona ni kupoteza muda.

Saa mbili kamili ya asubuhi ndio waliweza kufika ndani ya uwanja wa kimaitaifa wa mwalimu Nyerere , ilikuw ani safari ya siku tano …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next