Roma hakupata tabu ya kuweza kwenda kwenye nyumba ya Rose Kisarawe kwani alikuwa akiifahamu kutokana na kwamba alishawahi kufika hapo , hivyo alikuja kutokezea mbele ya nyumba hio na ni kweli maelezo ya Diego yalikuwa sawa kabisa kulikuwa na uharibifu mkubwa wa nyumba hio , huku watu nje wakiwa wamekusanyika.
Roma hakutaka kuzubaa baada ya kufika alipita watu haraka haraka na kisha akaingia ndani ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments