Reader Settings

Ilionekana kundi la Yamata walifanya kazi yao kwa weledi sana mara baada tu ya kupewa taarifa juu ya kuzuia meli ya kundi la Lapland kwani sio meli tu iliokuwa imewazingira lakini pia kulikuwa na Chopa za jeshi la Somalia juu yao zikiwapigia misele.

Wote kwa pamoja ilibidi wapande mpaka juu kabisa ya boti kuangalia mbele na kadri boti yao inavyosonga kwenda mbele ndio walivyoweza kuona …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next