Reader Settings

Watu wote walirudi ndani na kumuacha Rose na Roma pamoja na Mzee Bakari wakitaka kusikiliza sababu yake , Roma hakutaka kwenda kuongea nae ndani kwani alijiambia kama mzee huyo asingekuwa na sababu ya kuridhisha basi angemuua hapo hapo na kumtupa majini.

“Nipe sababu ya kuridhisha nikuache hai?”Aliongea Roma.

“Mr Roma ni kweli kwamba nimefanya nilichokifanya , lakini kuna watu nyuma yangu ambao napokea maagizo kutoka …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next