Edna alimwangalia Rose kwa namna ya kumsoma mawazo , alitaka kujua kama Rose alikuwa na nia ovu ya kutaka wao kuwa majirani , lakini kwa mwonekano wa Rose aliona hakuwa na nia mbaya na alijiambia kuna haja gani ya kugopa kuwa na ujirani na Rose na Dorisi.
“Okey kama tunaweza kupata nyumba ambazo zipo eneo moja na tukawa majirani sawa , kwani hela sio tatizo”Aliongea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments