Mwanaume Chriss ambaye anaekutana na Suzzane alikuwa ndio moja ya vijana ambao walikuwa wakiaminiwa na Mheshimiwa Barack Mabo mpaka pale Chriss alipofanikisha kurekodi mazungumzo ya raisi na yeye mwenyewe lakini pia mazungumzo ya Raisi Kigombola na Raisi Barack Mabo.
Na baada ya Chriss kurekodi sauti hizo ndipo alipompatia mfanyakazi wa ikulu wa kitengo cha mawasiliano afahamikae kwa jina la Suphian Kangasi na ndio huyo Suphiani …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments