Bwana yule hakuweza kupata ujasiri wa kukimbia kutokana na kwamba alishajua Roma sio saizi yake kwa namna ambavyo ametokea mbele yake , aliishia kumwangalia Roma na kujiuliza huyu mtu ni nani.

“Sauroni anafanya kazi gani , nilishamkataza Zero kufanya kazi ndani ya mataifa ya Afrika , Umeigiza kuwa mhudumu na kutia sumu kwenye chakula cha wateja kwa ajili ya kuwaua , umefanya kwa kuagizwa au …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next