Reader Settings

Mpango wa Roma ulikuwa ni kwenda kumtoa Mzee Longoli huko huko kwenye kambi ya jeshi na kumuua mara tu baada ya kuona Yan Buwen kufanikiwa kutoroka ,aliamini huenda akimhoji mzee Longoli angeweza kujua ni wapi Yan Buwen kakimbilia.

Sasa Roma wakati alipokuwa akitoka katika makazi ya wanajeshi wake ndipo alipopata simu kutoka kwa Afande Kweka akihitajika kwenda kuonana nae bila kukosa na kutokana Afande Kweka …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next