Roma mara baada ya kumaliza kuwasiliana na Profesa Clark alisalimiana na familia yake pasipo kumsahau Lanlan.
Ukweli kadri alivyokuwa akimuona Lanlan ndani ya nyumba ni kama alikuwa akipata nguvu zaidi ya kupambana na kumlinda kwa namna yoyote ile , alishaamua kumlea yeye na Edna hivyo alikuwa na jukumu la kumpa maisha mazuri baadae.
“Ukirudi nataka tukamwandikishe Lanlan aanze masomo”Aliongea Edna mara baada ya kumaliza kunywa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments