Roma hakutaka kumzuia Yan Buwen kabisa kutokuua familia yake , kwanza ni mambo ambayo hayakuwa yakimhusu na pili familia hio ndio iliomwingiza katika mambo ya kutengeneza siraha za maangamizi ili tu kuweza kushindana na Hongmeng.
Lakini hata hivyo swala la kuua familia yake mwenyewe lilimfanya Roma kuuona Yan Buwenn kiumbe cha hatari sana ambacho kwa namna yoyote ile alitakiwa kumwangamiza hapo hapo kwani kitendo alichokifanya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments