Ni usiku huo huo baada ya kumuacha Omari kwenye nyumba ya Yan Buwen ilioharibiwa , Roma alionekana tena ndani ya eneo maarufu sana ndani ya Beijing ambalo hukaliwa na wanasiasa pamoja na wakuu wa jeshi, ni sehemu ambayo inafahamika kwa jina la Xijiao Villas.
Sasa Roma haikueleweka alikuwa akifanya nini ndani ya eneo hilo lakini alitembea na barabara iliokuwa ikitenganisha majumba hayo yenye kuta ndefu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments