Ni siku iliofuata Roma alienda kazini kama kawaida na kupokelewa na Tanya ambaye tayari wafanyakazi wote walishamtambua kama sekretari wa Roma akiwa amerithi nafasi ya Amina ambaye ameenda kumsaidia baba yake majukumu kwani alitoa taarfa ya kuwa nje kimatibabu.
Sasa wafanyakazi walikuwa wakishangaa Roma aliwezaje kuajiri ghafla tu mrembo kutoka Japani ambaye alionekana kuwa na akili nyingi kichwani , kwani kila kazi iliomfikia Tanya ilifanyiwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments