Kwa maelezo ya Benadetha ni kwamba kuna mgogoro wa kifamilia uliokuwa ikiendelea baina ya mdogo wake ambaye ni wa mama tofauti , mgogoro ambao ulipelekea kaka yake kutoroka nyumbani na kuelekea kusikojulikana.
Mdogo wake huyo ambaye anaitwa Mika ni mwanafunzi wa chuo cha IFM na kwa maelezo ya marafiki zake ni kwamba hakuwa akipatikana kabisa hewani na hata mahali ambapo alikuwa akiishi gari yake ilikuwepo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments