Reader Settings

Mage ni kama alipata nafasi ya kumshikilia Roma usiku mzima na hata pale kulipokucha Mage alimwambia Roma amsindikize Mlimani City kununua baadhi ya nguo za kufanyia mazoezi na Roma kwasababu hakuwa ametumia mua mwingi na mrembo huyo ilibidi tu akubaliane nae.

Walitoka pamoja hotelini na kwenda mpaka Mlimani City ambapo Mage alinunua mahitaji yote alioyahitaji akisaidiwa kuchagua na Roma na mpaka wanakuja kutoka eneo hilo …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next