Edna na Roma mara baada ya kuingia eneo la sebuleni waliweza kukutana na sura nne ngeni ,kulikuwa na mwanaume mwenye kitambi na mwili mkubwa alievalia suti , mwanaume mwingine alikuwa ni mzungu. , wengine wawili walikuwa ni mabodigadi.
Kuhusu mzungu alikuwa mrefu wa kama inchi sita na nusu , ana nywele nyeupe aina ya blonde akiwa amevalia shati rangi ya pink na suruali ya kitambaa, …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments