Reader Settings

Roma hakutaka kumfukuzia , hata hivyo alishawahi kusikia habari juu ya jamii ya siri sana iliokuwa imejibatiza kwa jina la Wolverines, lakini hakuwahi kuamini kuhusu stori hizo kwani kwake ilikuwa kama hadithi.

Wolverines ni jamii kama Vampire ambayo simulizi zake zilisikika sana kati ya karne ya tano mpaka mwishoni mwa karne ya kumi na tano , katika zama hizo waliaminika kuwa binadamu ambao ni jamii …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next