Reader Settings

Aishapova alionekana kuwa na munkari kweli kwa kuona kwamba muda si mrefu watu wa jamii yao wanakwenda kuwa na nguvu juu ya jamii nyingine katika ulimwengu usio onekana.

Wakati akiendelea kumwangalia bosi wake kwa namna ya kumuhusudu mara akili yake palepale ilifanya kazi na kukumbuka tukio moja.

“Boss siku ya juzi baadhi ya wanajeshi wetu walimnywesha Mtoto wa kundi la ZoaZoa kimiminika cha Tribute to …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next