Zilipita dakika kama therathini hivi wakati waheshimiwahao wakiendelea na kikao , mlango wa ukumbi ulifunguliwa na akaingia msaidizi wa Raisi afahamikae kwa jina la Kabwe.
“Mheshimiwa tukio la kigaidi limekuwa neutralized na kikosi cha kundi la Yamata Sect”Aliongea Kabwe kuwafanya waheshimiwa kushangazwa na taarifa hio “Yamata Sect ndio kundi gani?”
“Yamata Sect ni kundi la kihalifu kutoka Japani ambalo mwaka uliopita mkuu wa kundi hilo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments