Reader Settings

Roma aliweza kuchukua masaa kadhaa kuwa angani kwa ndege binafsi ambayo iliandaliwa na Edward.

Alishangaa mara baada ya kuona ndani kwake kulikuwa na ugeni , alisogea hadi sebuleni huku macho yake yote yakimwangalia Edna.

“Roma msalimie kwanza mama yako mdogo”Aliongea Blandina mara baada ya kuona Roma muda wote kamwangalia mke ,ilibidi asalimiane nae, ukweli hakuzoea kusalimia kwa kusema ‘Shikamoo’ kutokana na mazingira aliokulia hivyo alitumia …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next