Roma mara baada ya simu kukatwa ilibidi kwanza awasiliane na Tanya kujua nini kinaendelea kwani hakuwa hata na taarifa.
“Master ni yapi maagizo yako?”Aliongea Tanya mara baada ya kupokea simu , lakini sauti ya Tanya Roma hakuwa akiizoea kabisa.
“Tanya Boss Edna kasema kuna kikao nimekosa leo , nini kinaendelea ?”
“Ni project ilioandaliwa makao makuu , inayohusisha Semina kwa wafanyakazi wote wa kampuni yetu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments