Dina ni moja ya wasanii wenye umri mkubwa ndani ya taifa la Tanzania , lakini licha ya kuwa na miaka mingi uzuri wake ulikuwa ukifubaa kwa kiwango kidogo mno mpaka muda mwingine mashabiki wake kuhoji mwanamke huyo alikuwa akitumia chakula gani mpaka kuzidi kudumisha uzuri wake na kuonekana kijana zaidi.
Licha ya hivyo alikuwa akipendwa sana na watu kutokana na staili yake ya uimbaji …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments