Reader Settings

Roma na Mage waliweza kurudi mpaka Ununio nyumbani kwa Roma na kumkuta Edna bado akiwa eneo la sebuleni akisubiria , alionekana kuwa na wasiwasi mno kutokana na kwamba kama taarifa zingetoka na mshukiwa wa mauaji kuwa ni Seekretari wake basi ingekuwa taarifa mbaya kwa kampuni yake hivyo kupelekea hisa kushuka.

“Vipi Recho kashatoka kituoni?”Aliuliza Roma.

“Bado ila mwanasheria wangu ashaenda kituoni , amesema inawezekana akatoka …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next