Vampire lile lilisogelea nguo nyeupe ya ndani ambayo amevaa Recho na kwa mwembwe zote aliichana mara moja na kumbakisha Recho na Chupi tu , lakini bado iliendelea kushangaza kwani licha ya matendo ya Vampire kufanya hivyo , Recho aliendelea kutabasamu , ni kama kitendo anachofanyiwa kilikuwa kikimfurahisha.
‘BOOM!”
Kitendo cha Vampire kutaka kumchania tena Recho ile Chupi pekee iliobakia kwenye mwili wake , lilipigwa pigo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments