Ni siku nyingine kabisa , siku iliofuata baada ya usiku wa kashikashi nyingi, Roma siku hio alichelewa sana kuamka kutokana na kuchelewa kulala , muda wa saa mbili za subuhi kwenda na nusu ndipo aliposhikuta kutoka usingizini.
Usiku wa jana alikumbuka namna ambavyo aliweza kuhitimisha usiku yeye na Recho,hakutaka kabisa kufanya chochote na Recho , lakini kitendo cha mwanamke yule kulia mbele yake huku akijiona …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments