Reader Settings

Mwanaume yule alitoa tabasamu huku akimwangalia

Denisi ,lilikuwa tabasamu ambalo liliashilia kuridhika nae.

“Umebadilika sana , Yan Buwen amekufunza vizuri”Aliongea kwa lugha ya kingereza, lakini Denisi maneno yale aliyachukulia kama tusi kwani palepale alimsogelea kwa spidi na kumkwida tai kwa namna ya kumminya.

“Acha kufanya maigizo mbele yangu ,mimi ni tofauti na wewe , nina jitegemea kwenye mambo mengi mwenyewe na kwako wewe…. Unaishi kwasababu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next