Lefayette licha ya kumuona mwokozi wake alionyesha kutofurahishwa na ujio wake , aliamini huenda Lilith ndio alifanya mawasiliano na Roma na kumwambia eneo walipo, hivyo aliona kabisa Lilith alikuwa akidharau uwezo wake wa kupigana.
“Pluto nilikuwa nikikusubiria sana”Aliongea Drogba.
Roma hakumjali sana Drogba zaidi ya kumsogelea Lefayette aliekuwa akihema kwa tabu .
“Bado hujafa tu?”Aliuliza Roma.
“Usinisogelee kama kweli una uwezo pigana nae na ushinde”Aliongea …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments